Home >  Term: venus thrombosis
venus thrombosis

Tone la damu ambayo yanaendelea katika mshipa, kwa kawaida katika mguu. Wanawake wajawazito ni zaidi wanahusika na damu kuganda wakati wa ujauzito na baada ya kujifungua.

0 0

Creator

  • DEBORA Miti
  • (edinburgh, United Kingdom)

  •  (Gold) 2175 points
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.