Home >  Term: urinary tract infection (UTI)
urinary tract infection (UTI)

Maambukizi ya mahali popote katika mfumo wa mkojo, kwa kawaida katika kibofu cha mkojo. Dalili ni pamoja na homa, kuongezeka haja ya kukojoa, au ni hisia kuungua wakati wa kukojoa. UTIs ni ya kawaida wakati wa ujauzito na ni kutibiwa na kiuvijasumu.

0 0

Creator

  • DEBORA Miti
  • (edinburgh, United Kingdom)

  •  (Gold) 2175 points
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.