Home >  Term: Hali ya utendaji
Hali ya utendaji

Mpangilio wa vifaa vya VAIO ambayo huchukua uzuri wa uwezo wa chipu za michoro kwa uchezeshaji tena bora na laini zaidi. Hata hivyo, hali ya utendaji hutumia nguvu nyingi za betri kwa hivyo kwa safari ndefu za kibiashara, hali ya uhifadhi nguvu unapendekezwa.

0 0
  • Part of Speech: noun
  • Industry/Domain: IT services
  • Category:
  • Company: Sony

Creator

  • Ann Njagi
  •  (Gold) 2927 points
  • 100% positive feedback
© 2024 CSOFT International, Ltd.