Home > Term: usalama wa mtandao
usalama wa mtandao
Usalama wa mtandao[1] unajumuisha masharti na sera zinazotumiwa na msimamizi wa mtandao ili kuzuia na kufuatilia ufikiaji usioidhinishwa, matumizi mabaya, marekebisho, au kunyima ufikiaji katika mtandao wa kompyuta na rasilimali za mtandao.
- Part of Speech: noun
- Industry/Domain: Computer
- Category: Computer science
- Company: AAAdomen
0
Creator
- Danvas
- 100% positive feedback
(Nairobi, Kenya)