Home > Term: linerkipodozi cha mdomo ( jina ,Vipodozi na utunzaji wa ngozi, Vipodozi)
linerkipodozi cha mdomo ( jina ,Vipodozi na utunzaji wa ngozi, Vipodozi)
Huitwa pia wanja penseli ya mdomo. Huwa inatumiwa kujaza sehemu zisizo toshana katika pindo za nje za midomo baada ya kupaka rangi yam domo, na piahutumiwa kulainisha midomo, ikiweka rangi yam domo ndani ya sehemu yam domo.
- Part of Speech: noun
- Industry/Domain: Cosmetics & skin care
- Category: Cosmetics
- Company: LOreal
0
Creator
- ogongo3
- 100% positive feedback
(Nairobi, Kenya)