Home > Term: leboyer kuzaliwa
leboyer kuzaliwa
Mbinu ya kujifungua ambayo inatetea kuzaliwa kiwewe ya bure. Hii inaweza kujumuisha kuweka mtoto juu ya tumbo ya mama mara baada ya kujifungua, ku gizagiza taa, kuchua mtoto, au kutoa mtoto umwagaji joto.
- Part of Speech: noun
- Industry/Domain: Parenting
- Category: Pregnancy
- Company: Everyday Health
0
Creator
- DEBORA Miti
- 100% positive feedback
(edinburgh, United Kingdom)