Home > Term: matokeo ya kusoma/kufunzwa
matokeo ya kusoma/kufunzwa
Kauli zinazoonyesha matokeo baada ya shughuli za kusoma kwa mwanafunzi; aghalabu huandikwa kutokana na kile mwanafunzi anaweza kufanya baada kipindi cha shughuli ya kusoma.
- Part of Speech: noun
- Industry/Domain: Education
- Category: Teaching
- Company: Teachnology
0
Creator
- Jonah Ondieki
- 100% positive feedback
(Nairobi, Kenya)