Home > Term: aya ya utangulizi
aya ya utangulizi
aya ya kwanza ya ripoti ya mkaguzi wa kiwango, ambayo inabainisha taarifa za fedha zilizokaguliwa, inasema taarifa za fedha ni jukumu la usimamizi na kwamba jukumu mkaguzi ni kutoa maoni juu ya taarifa za fedha kwa kuzingatia ukaguzi.
- Part of Speech: noun
- Industry/Domain: Accounting
- Category: Auditing
- Company: AIS
0
Creator
- Ann Njagi
- 100% positive feedback