Home >  Term: udhibiti wa ndani
udhibiti wa ndani

Sera na taratibu iliyoundwa kwa kutoa uhakika kwamba malengo ya kuridhisha chombo maalumu yatafikiwa. Lina: mazingira ya udhibiti, tathmini hatari, shughuli za udhibiti, habari na mawasiliano, na ufuatiliaji.

0 0

Creator

  • Ann Njagi
  •  (Gold) 2927 points
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.