Home >  Term: wakaguzi wa ndani
wakaguzi wa ndani

ni wafanyakazi wa mteja kuwajibika kwa ajili ya kutoa uchambuzi wa tathmini,, uhakika, mapendekezo, na habari nyingine ya usimamizi wa taasisi na bodi. wajibu muhimu wa wakaguzi wa ndani ni kufuatilia utendaji wa udhibiti.

0 0

Creator

  • Ann Njagi
  •  (Gold) 2927 points
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.