Home > Term: inhibin-a
inhibin-a
Homoni zinazozalishwa na kijusi na kupita katika damu ya mama. Ngazi ya homoni hii inaweza kuchunguzwa kupitia uchunguzi wa damu (Quad skrini) katika miezi mitatu ya pili. Viwango vya juu (pamoja na viwango vya juu ya homoni nyingine) unaweza zinaonyesha ongezeko la hatari ya mtoto kuwa Down syndrome.
- Part of Speech: noun
- Industry/Domain: Parenting
- Category: Pregnancy
- Company: Everyday Health
0
Creator
- DEBORA Miti
- 100% positive feedback
(edinburgh, United Kingdom)