Home > Term: udhibiti wa jumla
udhibiti wa jumla
Sera na taratibu za kuhakikisha utendaji kazi mzuri wa mifumo ya kompyuta, ikiwa ni pamoja na udhibiti juu ya data na shughuli za kituo cha mtandao, upatikanaji na programu ya matengenezo, na usalama wa kufikia.
- Part of Speech: noun
- Industry/Domain: Accounting
- Category: Auditing
- Company: AIS
0
Creator
- Ann Njagi
- 100% positive feedback