Home >  Term: baba waanzilishi
baba waanzilishi

neno ambalo hutumika mara nyingi kuwaelezea wale waliohusika katika kutunga na kusiliki Katiba katika Mkataba wa Philadelphia wa mwaka 1787.

Mkataba huu uliwaleta pamoja wajumbe 55 kutoka mataifa 13 wakati huo.

Uamuzi wao na katiba waliyoiunda iliweka msingi wa mfumo wa kisiasa wa nchi. Neno hili wakati mwingine hutumika kuwajumuisha watu wengine waliokuwa ushawishi mkubwa katika kupigania uhuru na wale waliopigana Vita vya Mageuzi.

0 0

Creator

  • Jonah Ondieki
  • (Nairobi, Kenya)

  •  (Bronze) 283 points
  • 100% positive feedback
© 2024 CSOFT International, Ltd.