Home >  Term: estriol
estriol

Homoni zinazozalishwa na kijusi na kupita katika damu ya mama. Ngazi ya homoni hii inaweza kupimwa kupitia uchunguzi wa damu (Quad skrini) katika miezi mitatu ya pili. Viwango vya juu (pamoja na viwango vya juu ya homoni nyingine) unaweza zinaonyesha ongezeko la hatari ya mtoto kuwa Down syndrome.

0 0

Creator

  • DEBORA Miti
  • (edinburgh, United Kingdom)

  •  (Gold) 2175 points
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.