Home > Term: mazingira
mazingira
udhibiti wa mazingira ni tabia, uelewa, na matendo ya bodi, usimamizi, wamiliki, na wengine juu ya umuhimu wa kudhibiti. Ni pamoja na sheria ya uadilifu na maadili, ahadi ya uwezo, bodi au kamati ya ukaguzi wa ushiriki, muundo wa shirika, kazi ya mamlaka na uwajibikaji, na sera za rasilimali watu na mazoea.
- Part of Speech: noun
- Industry/Domain: Accounting
- Category: Auditing
- Company: AIS
0
Creator
- Ann Njagi
- 100% positive feedback