Home > Term: demokrasia
demokrasia
Uongozi wa watu Nchini Marekani, demokrasia hurejelea mfumo wa uongozi ambao unapata mamlaka yake kutoka kwa mwitikio wa wengi na hutawala kulingana na mapenzi ya wengi.
- Part of Speech: noun
- Industry/Domain: Government
- Category: Government & politics
- Organization: The College Board
0
Creator
- Jonah Ondieki
- 100% positive feedback
(Nairobi, Kenya)