Home > Term: Uongozi unaoegemea katiba
Uongozi unaoegemea katiba
Wazo kwamba muundo na mamlaka ya serikali lazima yawe na msingi wake kwenye katiba iliyoandikwa na isiyoandikwa, ambayo sharti ithibiti mamlaka ya serikali.
- Part of Speech: noun
- Industry/Domain: Government
- Category: Government & politics
- Organization: The College Board
0
Creator
- Jonah Ondieki
- 100% positive feedback
(Nairobi, Kenya)