Home > Term: Kuficha (jina,Vipodozi na utunzaji wa ngozi, Vipodozi)
Kuficha (jina,Vipodozi na utunzaji wa ngozi, Vipodozi)
Aina ya vipodozi inayotumika huficha chumusi, miviringo nyeusi na madoa madogo madogo yanayoonekana kwa ngozi. Tofauti na msingi, misetiri inayo onekana kuwa na pigmenti yenye uzani mkubwa huwa inapakwa kwa sehemunyinginezo, ilhali msingi huwa ikipakwa katika sehemu kubwa.
- Part of Speech: noun
- Industry/Domain: Cosmetics & skin care
- Category: Cosmetics
- Company: LOreal
0
Creator
- ogongo3
- 100% positive feedback
(Nairobi, Kenya)