Home > Term: raia
raia
Mtu ambaye ni memba wa jamii ya kisiasa na ambaye ana jukumu la kutii serikali ya jamii hiyo na anaweza kupata haki na ulinzi unaotolewa na serikali. Mtu ambaye amezaliwa Marekani huwa raia wa Marekani mojakwa moja na watu wa mataifa mengine wanaweza kutuma maombi ya kuwa raia wa Marekani.
- Part of Speech: noun
- Industry/Domain: Government
- Category: Government & politics
- Organization: The College Board
0
Creator
- Jonah Ondieki
- 100% positive feedback
(Nairobi, Kenya)