Home >  Term: biofeedback
biofeedback

Njia ambayo husaidia wagonjwa kujifunza jinsi ya kudhibiti zao majibu kibaiolojia kwa maumivu au matatizo kwa kuongeza uelewa wa michakato ya kimwili kama vile kiwango cha moyo, shinikizo la damu, na kupumua. Katika mimba, biofeedback inaweza kusaidia kupunguza maumivu ya kichwa, kukosa usingizi, na uwezekano wa ugonjwa asubuhi.

0 0

Creator

  • DEBORA Miti
  • (edinburgh, United Kingdom)

  •  (Gold) 2175 points
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.