Home >  Term: areola
areola

eneo leusi linalozunguka titi. Wakati wa ujauzito, areola inaweza kusambaa na kuwa jeusi zaidi. Wakati wa kunyonyesha, mtoto compresses areola ili kutoa maziwa.

0 0

Creator

  • Ann Njagi
  •  (Gold) 2927 points
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.