Home >  Term: anemia
anemia

Kupungua kwa idadi ya seli nyekundu za damu, kwa kawaida kutokana na uhaba wa madini ya iron. hali, inayogunduliwa baada ya uchunguzi wa damu, husababisha dalili kama vile uchovu, unyonge, kuishiwa na pumzi, au kuzirai. Kula chakula kilicho na chuma na kuongeza kuchukua chuma katika nusu ya pili ya mimba ni muhimu kuweka juu na haja ya kuongezeka kwa seli nyekundu za damu.

0 0

Creator

  • Ann Njagi
  •  (Gold) 2927 points
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.