Home >  Term: maji ya uzazi
maji ya uzazi

maji ya wazi katika kifuko amniotic kwamba mazingira ya kitoto wakati wa ujauzito. Maji Amniotic matakia kijusi, hulinda dhidi ya maambukizi, na haijatulia joto lake. Katika mimba, maji amniotic ni daima kuwa replenished.

0 0

Creator

  • Ann Njagi
  •  (Gold) 2927 points
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.