Home > Term: acupressure
acupressure
aina ya dawa ya ziada na mbadala ambayo ina mizizi katika dawa ya kale ya Kichina. Inatumia shinikizo kutoka kwa vidole kuponya na Visa ya kuumwa na uchungu, wakati wa mimba, acupressure inaweza kutumika kupambana na ugonjwa wa asubuhi, maumivu ya kazi, na maumivu nyuma.
- Part of Speech: noun
- Industry/Domain: Parenting
- Category: Pregnancy
- Company: Everyday Health
0
Creator
- Ann Njagi
- 100% positive feedback