Home > Term: Idara ya Afya na Huduma za Kibinadamu
Idara ya Afya na Huduma za Kibinadamu
Ilianzishwa mwaka 1953, mojawapo ya Idara kwenye Baraza la Mawaziri. Idara hii inaongozwa na Katibu wa Afya na Huduma za Kibinadamu. Hutekeleza majukumu ya usimamizi, utafiti, elimu, na udhibiti kwa manufaa, usaidizi wa umma,na mipango ya afya ya umma. Idara ya Afya na Huduma za Kibinadamu inajumuisha mashirika yafuatayo: Huduma ya Afya ya Umma, Usimamizi wa Kuzeeka, Usimamizi wa Watoto na Familia, Usimamizi wa fedha za Huduma za Afya na Afisi ya Maswala ya Watumiaji Bidhaa.
- Part of Speech: noun
- Industry/Domain: Government
- Category: Government & politics
- Organization: The College Board
0
Creator
- Jonah Ondieki
- 100% positive feedback
(Nairobi, Kenya)