Home >  Term: Chama cha Demokrasia
Chama cha Demokrasia

Moja kati ya vyama viwili vikuu nchini Marekani Wanachama mbalimbali wa wa Chama cha Demokrasia huwa na maoni tofauti ya kisiasa na msimamo wa chama huweza kubadilika kutoka uongozi hadi uongozi. Hata hivyo, chama cha Demokrasia kimeweza kuvutia uungwaji mkono kutoka kwa tabaka la wafanyakazi, wanawake na walio wachache; na tangu zamani kimeunga mkono kiwango cha ushiriki wa serikali katika jamii na uchumi.

0 0

Creator

  • Jonah Ondieki
  • (Nairobi, Kenya)

  •  (Bronze) 283 points
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.