Home > Term: Marekebisho ya Vita vya wenyewe kwa wenyewe
Marekebisho ya Vita vya wenyewe kwa wenyewe
Marekebisho ya katiba yaliyopitishwa baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe ili kuwaachilia huru Waafrika Wamarekani waliokuwa chini ya utumwa, kuwapa uraia na kuwahakikishia haki zao kama wananchi. Badiliko la kumi na tatu lilipitishwa mwaka 1865; badiliko la kumi na nne lilifanyika mwaka wa 1868; na badiliko la kumi na tano lilifanyika mwaka 1870.
- Part of Speech: noun
- Industry/Domain: Government
- Category: Government & politics
- Organization: The College Board
0
Creator
- Jonah Ondieki
- 100% positive feedback
(Nairobi, Kenya)